Agro Mifugo

Agro Mifugo — Kilimo na ufugaji kwa maendeleo endelevu Agro Mifugo ni jukwaa la kidijitali linalowaunganisha wakulima, wafugaji, wanunuzi, wauzaji na watoa huduma za kilimo na mifugo nchini Tanzania. Tafuta bidhaa, tangaza unachouza, pata huduma na taarifa muhimu za kukusaidia kukuza shughuli zako katika sekta za kilimo ufugaji na uvuvi Kupitia Agro Mifugo unaweza: 1. Kununua na kuuza mifugo, mazao, chakula cha mifugo, vifaa na bidhaa nyingine za kilimo. 2. Kutangaza bidhaa zako na kuwasiliana na wanunuzi au wauzaji. 3. Kupata huduma za kitaalamu kutoka kwa wataalamu wa mifugo, kilimo na sekta zinazohusiana. 4. Kufuatilia bei za masoko na kupata taarifa kuhusu minada. 5. Kujifunza kupitia mafunzo na maudhui yanayohusu kilimo na ufugaji. 6.Kupanga na kufuatilia shughuli za shamba kwa kutumia zana za kidijitali. 7. Kuagiza bidhaa na huduma na kufuatilia mawasiliano kuhusu oda zako. Iwe unaendesha shamba, unafuga, unauza bidhaa au unatafuta huduma za kitaalamu, Agro Mifugo inakusaidia kupata taarifa na watu